Menu
RSS

Matukio na picha

kazi kweli

Baadhi yaWananchi wakimtuhumu Dereva wa Gari lenye Usajili T 722 CVP mali ya Kampuni ya Usafirishaji UDA baadaya kumgonga mama mchuuzi wa mboga aina ya Dagaaa mbaye jina lake halikuweza kupatikana haraka maeneo ya Feri Jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

 

Read more...

Matukio

Kijana aliyekuwa amejitwika magodoro kichwani katika maeneo ya Wizara ya Ardhi jijini Dar es Salaam akisaka wateja wa kununua bidhaa za hivi karibuni.

Read more...

Soma maelezo ya picha chini

Kaimu  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu Dkt.Othman Kiloloma, akifungua mkutano wa kikao cha Baraza la wafanyakazi kilicho fanyika hivi karibuni Tanga, kulia ni Katibu wa Baraza Dkt.Clement Mugisha   kushoto ni Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Magret Mhando

 

Read more...
Subscribe to this RSS feed
Tumaini Media

Radio-TV Tumaini, also trading as Tumaini Media, is legally registered in Tanzania under the Business Registration and Licensing Agency (Brela), No 116952. It is a registered Tax payer with TIN 100-251-094 and VRN 10-012753-P. Tumaini Media runs radio and TV stations, and a newspaper namely Radio Tumaini, Tumaini Television and Tumaini Letu, respectively. Tumaini Media seeks to serve the Tanzania community regardless of their colour. race. religion and tribe.

  Jesus is the Patron of our Station

We Now Covering 7 Regions

Coverage has been expanded to include seven out of 21 regions of Tanzania, thus: Tanga, Pwani, Morogoro, Zanzibar, Dar es Salaam and some areas of Dodoma, Kilimanjaro, Iringa and Mbeya Regions.