Tumaini Media
Radio-TV Tumaini, also trading as Tumaini Media, is legally registered in Tanzania under the Business Registration and Licensing Agency (Brela), No 116952. It is a registered Tax payer with TIN 100-251-094 and VRN 10-012753-P. Tumaini Media runs radio and TV stations, and a newspaper namely Radio Tumaini, Tumaini Television and Tumaini Letu, respectively. Tumaini Media seeks to serve the Tanzania community regardless of their colour. race. religion and tribe. |
Jesus is the Patron of our Station
We Now Covering 7 Regions Coverage has been expanded to include seven out of 21 regions of Tanzania, thus: Tanga, Pwani, Morogoro, Zanzibar, Dar es Salaam and some areas of Dodoma, Kilimanjaro, Iringa and Mbeya Regions. |
08-03-2017 Habari za dunia
ROMA, Italia UONGOZI na waamini wa Kanisa Anglikana la Watakatifu Wote la Roma nchini Italia, wamemkabidhi Baba Mtakatifu Fransisko zawadi mbalimbali baada ya kufanya ziara ya kihisroria kanisani hapo hivi karibuni. Miongoni mwa zawadi alizokabidhiwa Baba Mtakatifu ni ahadi ya kutoa chakula kwa ajili ya maskini, Biblia Takatifu kwa ajili ya waathirika... Read more
08-03-2017 Habari za dunia
VATICAN CITY, Vatican RAIS wa Serikali ya Mji wa Vatican, Mwadhama Giuseppe Kardinali Bertello, anatarajiwa kumwakilisha Baba Mtakatifu Fransisko katika maadhimisho ya miaka 40 ya Uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Serikali ya Ghana na Vatican. Idara ya habari ya Vatican ilieleza kuwa maadhimisho hayo yaliyoanza Machi 3 na kufikia kilele chake Machi... Read more

ROMA, Italia MAKAMU Askofu wa Jimbo Kuu la Roma, Mwadhama Agostini Kardinali Vallini, ameadhimisha ibada maalumu ya kufunga mchakato wa kutangazwa Mwenyeheri na Mtakatifu, Mtumishi wa Mungu Papa Benedikto XIII. Kardinali Vallini aliadhimisha ibada hiyo Ijumaa Februari 24, 2017 iliyofanyika katika Jengo la Kitume Laterano na kuwashirikisha wajumbe wa Mahakama ya... Read more